HISTORIA YA LUGHA YA KISWAHILI
Imetayarishwa na Mwl.Safari Albert.J,
Simu:+255 715 803 005
barua pepe:salbertode@yahoo.com
Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.Simu:+255 715 803 005
barua pepe:salbertode@yahoo.com
Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la pwani.